jamani wanaume tumekuwa adimu

Naamini mashoga wengi wanatokana na malezi mabaya ya wanawake, mtoto wa kiume mlee kiume asilelewe kidada dada unakuta mtoto wa kiume anavalishwa gauni la mtoto wa kike hii tafsiri yake nini?



mhh unawaza kiume.ur real man.
 
sawa baba.nimekubali

Haya twendelee
mi nalia na wanawake wanao wavisha watoto wao nguo za kike hawa ndo wanasababisha idadi ya mashoga inaongezeka nchini haswa haswa huu ukanda wa Pwani na vitongoji vyake.
 
leo nlikua kwenye foleni asubuh..jamaa wanashindana kugawa vipeperushi vya Nguvu za kiume...ni dalili mojawapo kuwa wanaume tupo wachache bado pia idadi ya wasio rizki imeongezeka..purely wanaume tupo wachacheeee
au vipi? hata wanaobisha rohoni ukweli wanaujua.
 
Wanaume wa kukweli wanahesabika AD ambao kina dada wakiwaona wana wasalute...their number is just so small and trust me bei yao nayo ni kubwa, lol!
unafikiri Asha halijui hili? analijua sana!
 
Wanamme mmevamiwa sana.

Hata wanamme suruali wamekuwa wachache

Wanamme vitop ndio wanaongezeka kwa kasi kweli
 
Haya twendelee
mi nalia na wanawake wanao wavisha watoto wao nguo za kike hawa ndo wanasababisha idadi ya mashoga inaongezeka nchini haswa haswa huu ukanda wa Pwani na vitongoji vyake.

ehh jaman ahsante kwa kunijuza..kumbe kumvisha gauni katoto ka kiume ndo sababu ya kuwa shoga?
unawaza kiume sana.
skujua chanzo cha ushoga ni kuvaa kigauni utoton.:glasses-nerdy:
 

Rose,leo umeamkia upande gani wa kitanda,maana.......
btw hako kajicho kanani kill softly!
 
Kweli mkiwezeshwa mnaweza tangia marufuku ya kukeketa iwepo naona midomo imewazidi lakini piga ua mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu.
 
Unataka kulazimisha mwanaume nae abebe mimba sio? Mwanaume tofauti na mwanamke, na mwanamke utaendelea kuwa mwanamke tu usitake kulazimisha kukojoa umesimama utajichafua nguo shauri yako.
du! jamani hii thread ngoja nii delete!
au ka vipi nichumpe kwa ku log off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…