Bishanga umeona nini asubihi na mapema kuja na uzi huu
Kweli wanaume wamebaki wachache sana wengi wa wanaume waliopo wanaoneana kuvaa suruali ni wa kiume sio wanaume
hatari kiaje aje?
Rose,leo umeamkia upande gani wa kitanda,maana.......
btw hako kajicho kanani kill softly!
Maneno makali sana hayo Rose,kuna watoto humu wanakodoa mimacho hata shule hawajaenda.
me nasema wanaume mpo wengi na mnatosha kila m2 kuwa na wake,tatizo mnapenda kudonoadonoa na kama alivyosema mtambuzi wengi wenu mmeupenda uanamke zaidi(ushoga).ktk wanawake kumi unaopishana nao wa4 ni mashoga tho huwezi mjua mpaka akuvulie.jambo lingine me naona kama Mungu ameamua kupunguza idadai yenu cuz aliyowa2ma myatimize hamyatimizi,mbona enzi za kina ibrahim wanaume walikua wengi jaman?acheni 2we wengi cuz mungu ameona 2naweza kuyatimiza mliyoshindwa kuyatimiza.
Kweli mkiwezeshwa mnaweza tangia marufuku ya kukeketa iwepo naona midomo imewazidi lakini piga ua mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu.
nasema hiviiii, hao chesiiiiiii mwisho wake ndiyo hapo. Labda wasikutane na special one!!!!!!!!!!!!!!!!!!
professional mchakachuaji,dawa yake kumsweka keko,ngoja niwatafute ma mod.
Bishanga, wabonaki waitu.
na wanawake ni watu boojo.
Bishanga umeona nini asubihi na mapema kuja na uzi huu
Kweli wanaume wamebaki wachache sana wengi wa wanaume waliopo wanaoneana kuvaa suruali ni wa kiume sio wanaume
du! jamani hii thread ngoja nii delete!
au ka vipi nichumpe kwa ku log off.
Na wanawake wanaoujua uanamke wapo wengi? Maana kila ninakoangaza naona wanawake wanaovaa suruali kama wanaume....so ngoma droo au?
wanaume wanaojua uanaume ni wachache...NI KWELI
lakin wanaume wenye kukojoa uku wamesimama na kuvaa boksa ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeng sana mpk wengne wanajiuza
km ilivyo wanawake wenye ukike ni wachache
lakin wanawake wavaa shanga wapo kibaooooooooooooooooooo mpk wengne wapo sokon:hippie:
yap.at list umenena...wanawake pia wapo wachache ...KM ILIVYO WANAUME WENYE UANAUME WALIVYO PUNGUFU
NAKUBALI HOJA YAKO
Masibota Mamndenyi?
Wagambaki?
Mr. Rocky
hauonekani,
najua ulikuwa mjengoni,
mambo yanakwendaje huko mkuu.
Hujambo Mr Rocky.
Kula tano toto la Kingoni!
Huwaga uko mkweli na huletagi longolongo.
ungefafanuagga wajameni, wengine hatujuaggi hayo mamisemo, woo?