Jamani wanavyuo naombeni mnipe ufumbuzi kwa waliokutwa nalo:

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
19
Habari zenu jf,mimi nimechaguliwa kujiunga na mucobs university lakini cha kushangaza jina silioni kwenye web ya chuo,hivi nifanyaje?nimechukua ha2a ya kuwapigia TCU lakin sim haipokelewi na nimewa2mia ujumbe wa email bado cjapatiwa jibu na mi nipo mbali na dar,kwa waliokutwa na hili tatizo naombeni msaada!shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…