Jamani wanawake mna vituko!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali hilo??Kwanini mnatanguliza maslahi kabla ya upendo kwanza??
 
Khanga moko mbadembade laki si pesa.....upo hapo Mkuu? mambo yote yanaegamia kwenye faranga,hapendwi mtu hapa!
 
Janja yake unaisoma na kui'delete!...Yaani ukishasoma kitabu unapotezea!...Heri nusu hasara!
 
Ndo maana yake yakhe! Acha akwambie ukweli, kumeza au kutema, utachagua mwenyewe!
 
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali hilo??Kwanini mnatanguliza maslahi kabla ya upendo kwanza??

Hujawahi kusikia usemi usemao "Mwanamke wa bure anagharama kubwa gzaidi ya yule wa kulipia"?. Siku zote, jari bukua bila kutoa mahari uone moto wake......
 
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali hilo??Kwanini mnatanguliza maslahi kabla ya upendo kwanza??
Kwa uelewa wangu mfinyu hapa anamaanisha kwamba huduma ambazo huwa anatoa wewe utaweza kuzipokea bila matatizo? Maana asije akakukubalia halafu akitaka akupe huduma unaanza kujikanyagakanyaga. Huduma anazo ameziandaa kwa ajili yako, na si kwamba wewe unatakiwa umhudumie hapana. Wewe unatakiwa uandae stoo tu ya kuzitunza pahala panapostahili!
 
Mhmm kizungu mkuti wanaewake wasiku hizi hiyo ni alfulela hulela!!
 
but kuhudumiwa ni muhimu jamani ,hata kama mwanamke anauwezo huwa tunapendwa kuhudumiwa uking'ang'ania true love utabaki unafua,unapika na kusonga ugali nk lakini wenzio nje wanafaidi kiulaini
 
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali hilo??Kwanini mnatanguliza maslahi kabla ya upendo kwanza??

Hivi ndugu yangu, kama wewe ulidhani kuwa huyo mwanamke asingetoshelez\a mahitaji yako, ungemtongoza? kama wewe umemtongoza kwa kuamini kuwa atatosheleza mahitaji yako, kwa nini iwe ni dhambi na yeye kutaka kujihakikishia hilo?
 
duh! bora umenistua! mie najua ati usipodai kuhudumiwa utapewa medali ya mwanamke wa maana! kha! ngoja niombe vocha kwanza..
but kuhudumiwa ni muhimu jamani ,hata kama mwanamke anauwezo huwa tunapendwa kuhudumiwa uking'ang'ania true love utabaki unafua,unapika na kusonga ugali nk lakini wenzio nje wanafaidi kiulaini
 
mi bado sijaelewa ni kitui gani hapa,"cheap is costful"
 
Ukivionza vinaelea jua vimeundwa!ww umekuta kitu kinavutia unafikiri kimejiweka chenyewe fedha imefanya kazi yake, ww unataka utumie tu akutunzie nani?kitunze kidumu!
 
unatakiwa ushukuru kukutana na ambaye atakuwa wazi namna hiyo, cause una uamuzi wa kumeza au kutema.
 
inategemea huduma gani aliyokua anamaanisha we ukarukia moja kwa moja kwenye pesa
 
hahahah....umesahau ule usemiii!!!!we wataka kulaaaa tu....hutaki kuliwaaaaa????
 
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali hilo??Kwanini mnatanguliza maslahi kabla ya upendo kwanza??

wanasemaga kuwa na wazazi maskini liko nje ya uwezo wao, bali kuwa na b/f au mume masikini ni kujitakia...
no money, no honey...
 
mimi nahisi si wanawake wote ,wanaotaka huduma kwa mwanamme ikiwa atakupenda na wewe kumpenda kiukweli ,almost wengi wao hawajali mali ,utawakuta watoto wa kitajiri lakin wanatoka na wanaume hawanakitu. si kigenzo sometime ,ni baadhi tu ya ambao wanajali vitu vidogo,na huyo hakupendi, anataka mtu amsaidie hizo shida zake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…