labda ukunielewa kaka broo yye hakujua kama mke wake ni muathirika alikuja kujua baadae tena baada ya mke wake kujifungua, na shem alijua ali yakeusimtengeeee ndugu yangu usimtengee...sio vizuri kumkimbia mwezie alie athirika,chukulia upande wa pili wa shilingi angekuwaa yeye ndo mwanamke kamkimbia,inatiaa faraja pale unapo jua mwezako anakujali na kukupa tumaini jipya.sio kuishi nae ndo asiriki nae tendo au vitu ambavyo nirahisi kuambukizwaaa.je?kama tokea mwazo alijua mwezio muathirika kwaninii ali zaa nae.........
labda ukunielewa kaka broo yye hakujua kama mke wake ni muathirika alikuja kujua baadae tena baada ya mke wake kujifungua, na shem alijua ali yake