Jamani wanayanga wenzangu hii tuhuma ni kweli?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kwa kweli timu yetu kwa sasa inaandamwa sana! Tuseme Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe!
Kuna hii tuhuma je ina uhalisia wowote?

Karibuni wanayanga na wasio wanayanga kwa mchango wenu
 
Hakuna Mwanayanga kiazi.

Peleka udaku kwa Hadija.
 
Yanga akabidhiwe Manji timu itatulia, Kama simba walivompa MO

Timu haina hela inasua sua tu
 
Mkiwa nayo ninyi timu haiwezi kutulia???? Shame on You...Yaani Yanga tangu mwaka 1935 wanachama mawazo ni kuongozwa na kusaidiwa tu??? Ni lini wanayanga wataweza kujiamini na kuendeesha mambo yao bila kutegemea kusaidiwa???
 
Sidhani kama umeelewa nilichoandika
 
Mkiwa nayo ninyi timu haiwezi kutulia???? Shame on You...Yaani Yanga tangu mwaka 1935 wanachama mawazo ni kuongozwa na kusaidiwa tu??? Ni lini wanayanga wataweza kujiamini na kuendeesha mambo yao bila kutegemea kusaidiwa???
Simba mpk Leo viongozi wapo lupango kwa wizi hujiulizi kwann?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…