Ngoja tujaribu ajira ngumu sana sasa
yaani kwa nafasi hizi mpya mpya kuanzia miaka 5 iliyopita
ukiuliza mwenzangu hii nafasi umepataje
mara mjomba kaniunganishia ,sijui anko anajuana na nani
lol sijui tunaelekea wapi..kama sio kukaa ndani na CV's zetu..
Sasa imebakia kupeana michongo ya kuwa Entrepreneur tu hakuna kingine