Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ray C Yuko hapa Nairobi anishi mahala panaitwa Ngara kwenye hostel. Mara kwa mara ana mascandal za ugomvi na mapromoter. Ana fanya ma show mabar ambayo hayalingani na kiwango chake cha usaani. Rumours ni kwamba anatumia unga sana MPakA show zenyewe hawezi perform ndo kwamana ana ugomvi na promoters. Muombeni jamani na msimlaumu. Kumbukeni nyimbo alizotoa mbeleni vile zilitupea starehe maishani.