alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 94
Kama kuna sehemu nitakua nimekosea nirekebisheni, huo ni wa tarehe 30/01/2019
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Palace anamfunga Southampton
Bora hiyo DC umpe PalaceView attachment 1008314
cheki msimamo huo kiongozi, alafu s'ampton yuko home
Bora hiyo DC umpe Palace
anhaa nimekusoma, yaan iwe x2
Nitaukopi kama ulivyo , lakini kupata odds zaidiView attachment 1008302
Kama kuna sehemu nitakua nimekosea nirekebisheni, huo ni wa tarehe 30/01/2019
NAPITA TU HII BIASHARA YA KUMWOMBEA MATOKEO MWENZAKO ASHINDE NA ASHINDWE NGUMU SANA NILIAMUA KUIACHA BAADA YA KUONA LOOSE NI KUBWA GAIN NI KIDOGO UNAJITIA PRESHA BURE NA MAWAZO MENGI HAKUNA MTU ALIYEACHWA SALAMA KWENYE GAMBLING NAWASHAURI TAFUTENI BIASHARA NYINGINE VIJANA WENZANGU

Brother hii biashara ngumu umeona matokeoView attachment 1008302
Kama kuna sehemu nitakua nimekosea nirekebisheni, huo ni wa tarehe 30/01/2019
dah sio poa asee, ni hatariBrother hii biashara ngumu umeona matokeo
Umebug vibaya mnooo ...Roma kala 7 wewe umempa winView attachment 1008302
Kama kuna sehemu nitakua nimekosea nirekebisheni, huo ni wa tarehe 30/01/2019
iyo ndo maana ya kubet ndugu
Acheni kubet.