Elections 2010 jamani watanzania tubadilike

pirate

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
718
Reaction score
703
hiv kuna watu kama vile wamefanyiwa exchange ya damu na kuwekewa damu ya CCM i dnt know wat inakuwa hivi.....,
hivi kwa lipi bora ambalo hawa CCM wamelifanya la kutunufaisha sisi kama watanzania lakini bado there is some people still need them...?, hivi ni kwanini m2 unakuwa mbishi kama vile umewekewa DNA ya kubishi all the tym....,
tangu wamepata miaka mitano iloyopita hakuna chochote walichofanya zaidi walichotusaidia kwetu ni kutuonyesha ni jinsi gani walivyokuwa wezi na matapeli kupitilza daaaaah...., lakin leo hii m2 unamkuta kapewa t-shirt imeandikwa "CHAGUA CCM".., halafu chin yake imeandikwa "CHAGUA KIKWETE" chini kidogo kuna m2 kachorwa kakenua meno [yaani eti anacheka] na hilo cheko anawacheka nyie ambao amna akili kwa kudang'anywa kwa v2 vidogo kama hivyo.,pia unakuta huyo huyo m2 bado anakazania mimi na CCM kama tanzania na kikwete..,NANI KASEMA?,
jamani watanzania wenzangu hawa c watu wazuri hata kidogo yani ni kama ni wabaya kama vile VIRUS wa turbeclusos



ni hayo tu wadau
dr.slaaaaaaaaaaa foreveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer:director:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…