makubwa; tumezoea kiswahili fasaha, leo tena kiswahili fasihi hata hivyo watakuja wataalam wakupatie msaada zaidi kwenye hii mada yako;
kwa upande wangu moja ya faida kama ilivyo kwa ulinganishi/mashindano yoyote ni kukuza ubora wa fasihi husika ktk jamii hiyo na pia kujenga umiliki wa utamaduni fulani ndani ya jamii hiyo mfano mashairi ya Mombasa yana vionjo vya namna hii, tofauti kabisa na radha ya yale ya Lamu
Kwa upande wa dosari ni kwamba kama uandishi haufafani ni vigumu kulinganisha vitu vya namna hiyo na nyingine ni kuwa yaweza kuleta vurugu na kutoelewana ktk jamii husika hasa ikiwa upande mmoja utaonekana uko juu ya mwingine na wakati ambapo upandeshindwa hauridhiki.
watakusaidia wataalam wa kiswahili.