Jamani watz sasa kufutwa uchaguzi wa kenya kunahusiana nini na wenger

Jamani watz sasa kufutwa uchaguzi wa kenya kunahusiana nini na wenger

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Watanzania hii sasa ni too muchi, kuna watu wanapita kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika eti kocha wa arsenal amechangia kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini kenya... emu tumhurumie huyu mzee wana arsenal jaman
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Back
Top Bottom