Watanzania hii sasa ni too muchi, kuna watu wanapita kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika eti kocha wa arsenal amechangia kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini kenya... emu tumhurumie huyu mzee wana arsenal jaman