Jamani wengine tuna hisia kali

Dogo huna haja ya kutongoza hapo ni ku-act tu! Umefanya uzembe
 
Hujiamini, utakosa vingi
 
Ona sasa unavyofeli kizembe.

Kilichokuondoa nini?

Ukaishia zako bafuni 🀫🀫🀫😰😰😰

Pole Dear.
Ni kiburi tu cha kua double.
Niko na manzi yangu mmoja special. 😁
 
Ungekua na dame/ wife afu ukakwepa mtego kama huo ningekupa big up sana.

Hata hivyo nakupa bigup kwa kuweza kuji control badala ya kuchukua mzigo huo na kuuwahisha machinjioni.

Take time jua unachotaka kabla hujamkula.
 
Sio siri sikufanikiwa kuondoka pale kwa uwezo wangu binafsi ni Mungu tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mahali kwenye biblia pameandikwa ,ikimbieni zinaa. Dah huo mstari unanitafakarisha sana. Mungu tu atusaidie.
 
wewe ni mtoto.. sikiliza

uyo mtoto wa kike ana nyege kama kisado hivi na wewe ni domo zege, kapitie uzi wa kimasihara soma uuelewe uchape mbususu iyo

alafu uje kuishukuru jf
Imeandikwa "Ole wao wanasababisha vikwazo,ni Bora watu hao kufungiwa jiwe shingoni na kutupwa Baharini".Kamwe usiwe Sababu ya huyu jamaa kufanya uzinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…