Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Sep 11, 2010 #21 njiwa said: Disko la mungu sio!.. visusio vya mapadri hivi:becky::becky: Click to expand... kinywa cha mpumbavu hunena hutoa sawa sawa na yaliyoujaza moyo wake; mwenye hekima, huficha hekima yake; bali mpumbavu kinywa chake hubwabwaja hovyo
njiwa said: Disko la mungu sio!.. visusio vya mapadri hivi:becky::becky: Click to expand... kinywa cha mpumbavu hunena hutoa sawa sawa na yaliyoujaza moyo wake; mwenye hekima, huficha hekima yake; bali mpumbavu kinywa chake hubwabwaja hovyo
M Mayolela JF-Expert Member Joined Sep 21, 2009 Posts 384 Reaction score 7 Sep 12, 2010 #22 makubwa haya,kweli mwisho wa dunia karibu????
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 13, 2010 #23 Mazingira said: Dada angalia vizuri. Shusho is more cute. Itabidi tuombe watu wapige kura sasa. Click to expand... Baba yetu uliye mbinguni...............................usitutie majaribuni lakini utuopoe maovuni, ameni!!!!
Mazingira said: Dada angalia vizuri. Shusho is more cute. Itabidi tuombe watu wapige kura sasa. Click to expand... Baba yetu uliye mbinguni...............................usitutie majaribuni lakini utuopoe maovuni, ameni!!!!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Sep 13, 2010 #24 Mazingira said: I think the current most beautiful singer in Tanzania ni huyu hapa chini http://www.youtube.com/watch?v=f4JlzLKPTKM View attachment 13542 Click to expand... Ni kweli bwana Christana Shushu ni m-cutie sana mungu awatangulie katika kutangaza neno lake
Mazingira said: I think the current most beautiful singer in Tanzania ni huyu hapa chini http://www.youtube.com/watch?v=f4JlzLKPTKM View attachment 13542 Click to expand... Ni kweli bwana Christana Shushu ni m-cutie sana mungu awatangulie katika kutangaza neno lake