jamani yamenikuta........!!!!!!

kaa mguu ndani ,mguu nje.

kweli, bado haya maswala ni fresh sana hata yy mwenyewe saa hizi hajui itakuwaje.
Ila usiingie kwenye ndoa kwa kumuonea huruma, ingia kwa kupnda na kukubali yote yajayo.
Muweke mungu wako mbele.
Ila kama wallivyosema huko juu inawezekana kabisa, na hutokea, ila nii rare ikakosekana conflict mbeleni kuhusu huyo mama, ila mtakavyozisolwe ndio juu yenu
dont worry so much kama sio wako mwache aende zake, kama ni wako utajua na utamkumbatia na usimwache
 
Kweli yamekukuta,kama anakupenda nadhani atamtunza mtoto na kuendelea na msimamo wake kwako
lakini kama ndo mambo yetu yale ya ooh nilienda kuona mtoto shetani akanipitia
Mdada ataongeza mtoto wa pili kufumba na kufumbua ooh sorry Amyner nimeamua kumuoa mama watoto wangu.
Kumbuka mke/mme mwema hutoka kwa mungu
 

Siku zote mahawala hawaachani wanacho fanya nikukumbushia tu Amina
 
Sasa ulitaka mtoto asifanane na babake afanane na wewe?

Kwa hiyo angejifungua mtoto asiyefanana na huyo bf wako roho yako ingetulia?
 
Ujue wewe ndo uliwaachanisha, maana mpaka demu ana mimba siyo rahisi kuachana...
 
wanaume hawatabiriki omba mungu tu hapo maana mmmh!
 
this is too big aisee:scared:
 
dadaangu songa mbele, wazazi hawaachani hata cku moja coz wana kiunganish ambacho ni mtoto, ya nini kujipa presha, cku akikwambia naenda kuzungumza na mama wa mwanangu utabaki home na amani kweli?....., dont worry, you will get the right man to marry you.
 

punguza wasiwasi ukitaka mafanikio.. kwani akikuacha baadae ndo utakuwa mwisho wa maisha yako? akiona humfai tena karibu kwangu nitakupa pakufikia!!!
 
Hata kada atakuoa akipata demu mwingine atakuacha na ww pia. Mwanaume macho juu juu huyo! Songa mbele
 

kama kwa sasa ametulia hamna shida,ila omba mungu angalau huyo dada aolewe mapema.
 
boyfriend wako alitoa sababu gani ya kuachana na msichana aliyekuwa na mimba yake already? chukua tahadhari asije akawa dunga dunga..
 
Sema na Moyo wako huku ukiangalia mahusiano yenu kwa sasa

Isijekua ni woga wako tu juu ya haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…