Jamani yani siamini kama wizara ya afya haijanichagua..!

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Niliomba muhimbili diploma sikuchaguliwa,niliomba wizara hawajanichagua,nimejaribu kutuma maombi ya pili muhimbili private sponsership form 4 physics C,Biology C,chemistry C na form 6 physics f,biology E,chemistry E,..Yaani sijui kama muhimbili watanichukua kwa awamu ya pili!na muhimbili competition ni kubwa?je nifanyeje mimi?wadau naomba msaada wa mawazo please!thanx!
 
mhuu bayona na wewe upo? ni kwel haujapata post.au magumash?
 
Dah nouma sana aisee!mwakani majeshi private!
 
hakuna chuo chochote cha private nimpeleke kijana wangu
 
Hapo mwakani tena sasa hivi dead line za vyuo zishapita! Kwa ngazi gani mkuu
certificate mkuu,kuna tangazo la chuo cha KAM niliona channel ten juzijuzi tu ngoja nitafute mawasiliano yao ni waulize.
 

Wewe hufai kuwa dakitari.Unapoteza muda wako huko. Ukilazimishs sana unaweza kupata ila utakuwa daktari muuaji (mtoa mimba n.k.). Tafuta kozi laini laini kama record keeping n.k.
 
Kwel life isnt fair!Nimepata MUHAS bt nimekoswa kbs fedha kidogo ya kufanyiwa regis na leo ndo mwsho!
 
Kwel life isnt fair!Nimepata MUHAS bt nimekoswa kbs fedha kidogo ya kufanyiwa regis na leo ndo mwsho!Ingawa nikosponsord
 

hapo kwenye nyekundu ndio tatizo, pole sana Ba Liz
 
pole sana ila usikate tamaa mimi mwenyewe nilikuwa na C ya bilogy advance lakini sikuchaguliwa?? ninachokushauri jaribu kuomba kozi kama nursing,labaratory kwenye vyuo binafsi kama utaweza kulipia ila usithubutu kusomea kozi nje ya sayansi ajira ni ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wewe hufai kuwa dakitari.Unapoteza muda wako huko. Ukilazimishs sana unaweza kupata ila utakuwa daktari muuaji (mtoa mimba n.k.). Tafuta kozi laini laini kama record keeping n.k.

we usimtishe mwenzio coz kwa pas hizo anaweza fanya kitu ktk uwanja wa afya na akaokoa taifa .hakuna coz rahis we ----- !!!afaulu vp na shule hiz za kata ????huenda ndo wa kwanza camp kwao na bidii yake ipo poa ishu ni mazingira ya usomaj na sio matokeo .je hujui kuwa zahanat kibao mabush zina nesi mmoja tu na anafanya kaz zote hapo kituoni yaan udaktar , unesi na vipimo??upo nchi gan weye !??mwanangu komaa na dream yko mungu atajibu coz hata usipoenda muhimbil hku bush unahitajika sana uweze okoa taifa kwa elimu hiyo tu uliyonayo .....komaa sanna mpaka kieleweke !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…