huyu jamaa alikuwa kiboko ya mabishoo...tungo zake zilikuwa zina elimisha na pamoja na kuburudisha..
nyimbo ya starehe ilimpa mpaka miradi ya ngo za ukimwi..kwa mpunga aliochota tu kwa ajiri ya starehe alitakiwa kuwa
untouchable..
Lakini yukwapi??nasikia alinunua ma jeep ya gharama na sasa hivi hata hatumsikii tena..mwenye kujua atuambie..mbona hii bongo flava kama maigizo hivi...why wasanii wazuri wote wanaishia pabaya..na hapa sizungumzii radio flani sijui flani hapana..
Maana kuna wakati mwingine tunapenda sana kutupia lawama kwa wadau wa radio mimi nauliza hivi hawa wasaniii kwani hawana muongozo??kuna wengi walipata mpaka deals na ma ngo maralia,ukimwi
mashirika mbalimbali lakini wapi....