Magu anatesa watu sanaa. Matunzo hupati na mashine hupigwi unakosa kote kote. Sasa nimeanza mkakati wangu nikiombwa hela na mdada namkasirikia sana na kumwambia ananionyesha alivo cheap, ina maana nisipompa mimi akipewa na mwingine analiwa kirahisi. Hizo K ziwekeni benk may be mnaeza pata riba kwa sasa hivi hali ya uchumi si hali. Si unaona ata kwenye mabenk rate ya kukopa imedrop chini snaa