Jamani

Jamani

ombeni

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
47
Reaction score
2
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.
 
I disagree with you!..wengi ninaowaona mimi wanasindikizwa clinic na wanaume wao. Haimaniishi wasiposindikiza kila clinic ni tatizo!!
 
Nilikuwa pale AGHAKAN kumtembelea shosti flani MATENITY WARD sasa wababa kibao walikuwemo ila kila mmoja alikuwa akisema anajutia kumsindikiza mkewe manake anatamani amsaidie kuumia ila ndio haiwezekani
 
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.

Kwangu mie si kweli. Huwa naandamana naye kliniki na hospitali. Hata wakati wa kujifungua huwa huwa simuachi peke yake napta sapoti, 'yes, you can do it, push... '
 
Nimtazamo tu,ila sio wote.Na sioni tatizo mwanaume kuandamana na mkewe kwenda sehemu hizo.
 
hapoo sasaa msalaa sheh...saluni tena,kwa mwanaume anae jalii lazimaa kumsindikiza wife clinic,kwani kunaa mambo mengi unatakiwaa kujuaa
Mimi nampeleka hata saloon.
 
Mie pia kusindikizwa ilikuwa nadra mwishomwisho wakati nimechoka ndio alikuwa ananipeleka
 
Sio utamaduni wetu lakini with time tunaweza badilika na tayari tumeanza kufanya hivyo.
 
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.

nimetoka clini na mamaaaaa hapa sasa hivi hivyo wewe muongo kama PINDA kulidanganya bunge...
 
Si kweli! me mke wangu nimempeleka klnik toka ana mimba ya mwezi mmoja mpaka amelifungua. Na baada ya kujifungua mtoto tunampeleka wote.
 
Back
Top Bottom