Tukusaidie nini sasa hapo mkuu? Mawazo ya Kama inalipa? au kama ni wazo hai na si la kufikirika?
Hizo mashine zipo,nakumbuka kuna kipindi sabasaba kulikuwa na wakenya wanauza vifaa vya namna hiyo,unamenya na kukata viazi vya chips kwa size upendayo.
Kuhusu swala la pili,wazo ni hai tena binafsi nafikiri ni zuri tena linaweza kulipa sababu utaokoa muda na gharama za kumenya ambazo wauza chips wanazipata.Ila hivyo viazi vipo tayari kwenye supermarkets,so it's either bei itakuwa ghali au wauza chips wengi hawafahamu kama vipo ndio maana bado wanamenya badala ya kununua.So jarubi mkuu inaonekana italipa
Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka