Jamanieee connection naombeni

Joined
Dec 22, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Jamani pipo wana jf...ninawa penda sana coz its thru u guys nimepata kazi ninayoifanya ila sasa nahitaji msaada wenu kwa ajili ya kazi nyingine.I can do news casting/ anchoring...na i prefer on radio au hata matangazo ila sasa lugha ninayoiweza sana ni kingereza. so Guys kama kuna mtu ambae ni boss na anatafuta part time presenter/ news anchor/caster in english please let me know.kingine sio kwamba nimevisomea...its just a talent and i love and admire doing it. i can be available on saturdays from 1pm onwards and sundays.
Nisaidieni people plsssss
 
wewe si una kazi tayari? yaani unataka kushika kazi mbili wakati kuna mtu amehangaika angalau apate "kibarua" amekosa!! fanya kwanza hiyo moja!
 
mbona sikuelewi...au ndio akina jack of all trade.......!!!!!!!!!
 
@
aikaruwa1983
Huelewi nini tena????its plain and simple......natafuta kazi soma first headline

aiseee!!! haya tufanye mimi sijaelewa.

naombeni connection.........
natafuta kazi...........
i can do news .....
sijasomea chochote......
kiswahili sijui vizuri.........
this is more than empty vessel...........
 
Ushauri wangu kwako, kama unatafuta kazi kama part time presenter dont wait for employer to look for you, because there are a lot of presenter outside who are even willing to present free of charge just to become famous, so, just go to the Radio station and present your Ideas and if you luck and you have got talent then you will get the job.There a lot of stations now days.
 
Message delivered mwanangu...umeguswa..na utasonya jeee...nimeshapata contacts...jamanie civilised people who contacted me privately...ahsante.mtu mmoja hapo LIKWANDA or whatever u kol yoself...hmmm grow up babu au mamie ehh

Thanks people...love yaaaaaaaa
 
Message delivered mwanangu...umeguswa..na utasonya jeee...nimeshapata contacts...jamanie civilised people who contacted me privately...ahsante.mtu mmoja hapo LIKWANDA or whatever u kol yoself...hmmm grow up babu au mamie ehh

Thanks people...love yaaaaaaaa
 
Nipm kwa audio nisikie vocal nahitaji meeting coordinator kwa foreigners!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…