Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Hatari mkuuHahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu utakuta mwanaume anaongea huku akibetua mdomo na kuzungusha zungusha shingo..!! huwa nahisi kizun gu zungu kwa ghadhabu [emoji109] !!!!
Hahahahaaaaaa*Bongo muvi bhana et jambazi kamnyoshea mtu Bastola afu anamwambia ..... NITAKUCHINJAAAA..*
```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF```[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]