Jambar f1hybride Onions

london1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
430
Reaction score
943
Habari wajameeni,naomba msaada. Natafuta aina ya vitunguu vinavyoitwa kwa jina la kitaalamu, Jambar f1 hybride .Nataka kujua upatikanaje wa mbegu zake upo vipi hapo bongo,yaani zinapatikana wapi na ikiwezekana bei ya hizo mbegu kwa kilo.
Je hivi vitunguu vinalimwa kwa wingi hapo nyumbani na ni sehemu/mkoa gani vinalimika/vinalimwa kwa wingi? Nitashkuru maelezo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…