Nimekaa nikajiuliza sana baada ya kuona silaha zinachomwa moto,na mmoja wa polisi akisema bunduki hizi zimekamatwa na nyingine zimerudishwa kwa hiyali.na hapo ndio swali likaanzia.naomba msaada .
Ila huna uhakikaka cha mcng rudisha iyo silaha yako utarudi na mrejesho timilifuMimi naonwa lazima atakamatwa maana si kajipeleka