Tetesi: Jambazi la Turiani

Tetesi: Jambazi la Turiani

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Jambazi kuu LA turiani wadidi inasemekana limeachiwa huru ni hatari kwa usalama uhalifu unaanza tena

Sababu za kuachiwa ni zipi wakati ni Jambazi linalojulikana
 
Kwanini usimtaje Nina huyo jambazi? Au aliiba lini,Wapi na kwanani? Alikamatwa lini? Na polisi Wa kituo kipi? Na ameachiwa na ndani? Polisi au mahakama gani na lini? Maswali hayo yatarahisisha ufuatiliaji
 
Jambazi kuu LA turiani wadidi inasemekana limeachiwa huru ni hatari kwa usalama uhalifu unaanza tena

Sababu za kuachiwa ni zipi wakati ni Jambazi linalojulikana
Ungekaa chini kwanza!
 
Twende tararibu kijana punguza munkali alafu utupe maelezo mubashara
 
Back
Top Bottom