Jambazi sugu ajisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa na risasi za Polisi

Insanity! Sasa kama kajisalimisha si apelekwe rumande kusubiri kesi? Kosa halina expiry date, hadi ulilipe. Sasa na milioni 1 juu? Na hivyo vyombo vya habari vilijuaje ataenda kujisalimisha siku hiyo?

Maigizo mengine ya kitoto sana.
Namie kesho naenda
 


Kwanini wasingemuua kwanza, inabidi wamuulize kaua wangapi, wasimuache tu hivi hivi.
 
Alipokuwa kazini hajawahi kuua? Kastaafu vizuri, maana kalipwa uovu aliotenda.
 
Huyu sio jambazi sugu huyu
 
Dah ngoja namimi nikajisalimishe Kwa Bashite najua atanipa kama M kumi
 
Nchi ya maigizo inayoongozwa na wasanii nguli! Yaani kila mteule anatafuta ka-angle ka kutokelezea ili mteuzi anyone kuwa Nate yupo! Sasa Kuna maendeleo yatakayosimamiwa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…