Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
weka picha sasa tulione
Hata hivyo ni kwamba ajaingia tu kwenye anga za baadhi ya watu maana angeshaondolewa fasta
Huyu jamaa akikuona ukimpiga picha kwa alivyo hatari kesho hutaiona. Ni mtu hatari kwa amani na usalama wa mali za watu wa Arusha.
Tunamwomba MWEMA CHONDE CHONDE do the needful kabla huyu jamaa hajaanza ku eliminate watu
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
duh! banjoo ametoka kweli maskini ndio watakaobaki jela milele

Huyu anatembea peke yake na ni easily traceable
Mkuu weka picha yake hapa tumuone mimi mdau mkubwa sana wa madini
Mmm alikufanya nini mbona unampa promo hivyo.Hakuna baunsa kwenye risasi.