Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
John Kibera lilikuwa jina lilotawala sana katika vichwa vya wanausalama wa Kenya kwa kuwasumbua kwa matukio yake ya kupora raia na kutishia maisha.
John Kibera maarufu kama "DK Shah" alibadili mbinu ya kusumbua raia waliohai na kuamua kusumbua marehemu walio makaburini baada ya mauaji ya mpenzi wake aliepigwa risasi na maaskari na kuaga dunia na yeye kujeruhiwa.
Alianza kwa kuuza wazo lake la wizi wa majeneza kwa marafiki zake walokutana gerezani na ndipo walipokubaliana kuiba majeneza yalozikwa muda mfupi.
Inasemeka John Kibera aliiba zaidi ya majeneza elfu moja lakini ni yeye peke yake alobaki hai na wenzake wote walipotezwa na risasi za polisi.
Kibera alikuwa akitafuta habari za marehemu kupitia magazeti yenye matangazo ya vifo na hivyo kuhudhuria ktk msiba alohisi watafanikiwa mitego yao na huko alifanya uchunguzi wa haraka wa kujua gharama za jeneza ambalo baada ya wizi wangeenda kuuza ktk maduka ya wahindi.
John kibera aliponea kifo baada ya kukiingia ndani ya jeneza siku walipofumaniwa na polisi.