Jambo Ambalo Umewahifanya

SheriaE

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
606
Reaction score
447
Za Mida Wakuu?

Et Jamani Wewe Mwanajamii Ni Jambo gani ambalo Umewahi Fanya Ata Neno Gani ambalo umewahi sema juu ya mtu mwingine ukikumbuka linakupa kumbukumbu mbaya au nzuri.

Mimi binafsi ckumbuki.

AKHSANTENI
 
kama we umeshindwa kukumbuka si tutakumbukaje mkuu?? em kuwa serious basi umewaza nini hadi ukauliza hivo sasa
Me Katika Maisha Yangu Kutoa Lugha Ya Matusi Ni Vigumu Sana. But Kilichonifanya Kuwaza Ivo Ni
Kuna Jamaa Mmoja Iv Tumesoma Nae Pahali Fulani, Anasema Kuna Mtu Alimtukana Ms...., Tusi Ilo Lilimuumiza Sana, Jamaa Akaanza Kuwaza Ivi Huyu Mtu Ameanzaje Kunitus Ivo Itakuwa Ana Mapepo. Ikabdi Amfungie Maombi Kwamba Aache Kutukana Watu Matusi,

Ni Hapo Nlpoanzia Kuwaza
 
hapo nimekusoma mkuu alafu kuna rafiki yang flan ni mtumishi was kanisa yaani ye ukitukana mbele yake lazima akupe somo au hata kufunga na maombi pia nikikumbuka nachekaga sana
 
hapo nimekusoma mkuu alafu kuna rafiki yang flan ni mtumishi was kanisa yaani ye ukitukana mbele yake lazima akupe somo au hata kufunga na maombi pia nikikumbuka nachekaga sana
Ndo Hivyo Mkuu, But Saiv Huyo Mshakaj Kashabadilika nae kwake kutusi ishakuwa kawaida,
 
Nilimuita Febronia ng'ombe kipindi hicho yupo form one mi form two, alipofika form two Febronia akawa mzuri kuliko kawaida.

Nikamtokea akanikumbusha nilimuita ng'ombe
 
Nilimuita Febronia ng'ombe kipindi hicho yupo form one mi form two, alipofika form two Febronia akawa mzuri kuliko kawaida.

Nikamtokea akanikumbusha nilimuita ng'ombe
Mmh! Pole Mkuu
 
Vingi sana....hata hii coment ninayoandika hapa ntaikumbuka na itanifanya nijiskie vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…