Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo.

Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia tofauti tofauti kwa watu mbalimbali. Katika kujenga demokrasia iliyo bora huenda mambo hayo hayapaswi kujirudia tena.

Je, mdau ni mambo gani hutamani kuona yakijirudia tena kwenye mchakato mzima wa uchaguzi?
 
Yote yaliyofanywa na magufuli mpaka kupata bunge kituko la betina na halima mdee
 
Mambo n mengi, nimekupa gari nakulipa mshahara halafu umtangaze mpinzani .
 
Sa100/mwanamke yeyote kuongoza hili taifa tena,laana itoke Tanzania.
 
Back
Top Bottom