Jambo gani hutalisahau kwa mwaka 2017?

Jambo gani hutalisahau kwa mwaka 2017?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Habari ndugu wana JF natumaini mpo poaa hasa katika kipindi hichi tukisubiri kuupokea mwaka mpya 2018 kwa uweza wa Mungu aliejuu.. Kiukweli 2017 ulikuwa mwaka wenye mambo mengi lakini kila mmoja ana jambo ambalo hawezi kulisahau kwa mwaka huu... Mimi binafsi sitasahau siku niliyoumwa sana Malaria Kali na ilikuwa kipindi cha Mitihani ya Chuo lakini Mungu ni mwema nilifanya mitihani yote kwa uwezo wake.. Na wew share jambo ambalo hutalisahau 2017...Karibuni
 
Mi sitasahau siku ya jana kila maali ni kuhusu tuzo sijui tunzo ya amani ya wakfu wa Mandela, doh kwa kweli hii sintasahau ilivyokuja kugeuka gafla, sometimes muwe mnaskiliza ata nyimbo za bob marley
 
Mwaka huu nlipata ajali mbaya lkn Mungu ni mkubwa sikuumia sana na mwanangu alitoka salama kbs bila hata jeraha

Mungu aendelee kunilinda nione 2018 nikiwa na afya njema
 
Mwaka huu nlipata ajali mbaya lkn Mungu ni mkubwa sikuumia sana na mwanangu alitoka salama kbs bila hata jeraha

Mungu aendelee kunilinda nione 2018 nikiwa na afya njema
Daah pole sana mkuu
 
Mi sitasahau siku ya jana kila maali ni kuhusu tuzo sijui tunzo ya amani ya wakfu wa Mandela, doh kwa kweli hii sintasahau ilivyokuja kugeuka gafla, sometimes muwe mnaskiliza ata nyimbo za bob marley
Haa ha ha ha...
 
Ni mwaka ambao nimeanza kumwaga [emoji379][emoji379][emoji379]
 
Back
Top Bottom