Habari ndugu wana JF natumaini mpo poaa hasa katika kipindi hichi tukisubiri kuupokea mwaka mpya 2018 kwa uweza wa Mungu aliejuu.. Kiukweli 2017 ulikuwa mwaka wenye mambo mengi lakini kila mmoja ana jambo ambalo hawezi kulisahau kwa mwaka huu... Mimi binafsi sitasahau siku niliyoumwa sana Malaria Kali na ilikuwa kipindi cha Mitihani ya Chuo lakini Mungu ni mwema nilifanya mitihani yote kwa uwezo wake.. Na wew share jambo ambalo hutalisahau 2017...Karibuni
Mi sitasahau siku ya jana kila maali ni kuhusu tuzo sijui tunzo ya amani ya wakfu wa Mandela, doh kwa kweli hii sintasahau ilivyokuja kugeuka gafla, sometimes muwe mnaskiliza ata nyimbo za bob marley
Mi sitasahau siku ya jana kila maali ni kuhusu tuzo sijui tunzo ya amani ya wakfu wa Mandela, doh kwa kweli hii sintasahau ilivyokuja kugeuka gafla, sometimes muwe mnaskiliza ata nyimbo za bob marley