Jambo gani huwezi kuwaambia wana jf kuhusu wewe ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Huu ni muendelezo juu ya uongo na ukweli.

Nimemaliza..!
 
Kuhusu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
siwezi kuwaambia kuwa siuelewi upinzani wa tanzania... maana ni kitu ambacho wengi huchukulia kama dhambi..


aaaarghh ndio nshasema tena siuelewi upinzani wa bongo... kwahyo hakuna ambacho siwezi waambia 😂😂
 
Siwezi kuwambia ninavyowadharau wapinzani sababu ya ushamba wao wa kisiasa.
 
Yaani hata mfanyaje, siwezi kuwaambieni kuwa sijui kutongoza. Hiyo ni siri yangu na itakaa ndani yangu daima dumu, sipendi kuaibika mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…