Jambo gani linewahi kukutokea hapa JF hutolisahau

Kuna mambo mengi ya kufurahisha na kukera humo JF, je lipi limewahi kukutokea hutolisahau?

Lililonifurahisha.

Risasi za SMG kati ya 28 hadi 32 kumkosa Mtu kama ilivyotegemewa na sasa tupo nae Hai kwa Upendo wa Mwenyezi Mungu.

Lililonikera.

Ni idadi ya Watu ' Wasiojulikana ' kuzidi kuongezeka kila uchao nchini Tanzania.
 
Mi nilipigwa ban kwa siku moja tu lakini nikaona kama mwaka ubaya zaidi kila nikiangalia manake deadline ilikua imepita ila Mod hawanifunguliii da nilikua naumia halafu hawana namba ya costemer service uwapigie labda uwaambie muda umeisha hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…