Jambo gani uliwahi kulifanya na ni siri yako tu

Nilikuwa naskia kuwa kuna mada za kipuuzi ila nikuwa sijawahi kukutana nayo.
Ok mi siri yangu ni kuwa kuna mada ya kipuuzi nimekutana nayo jf ila siisemi kwakuwa ni siri
 
na ukakimbia,, ruby utakuwa rafiki yake mhaya mmoja est yake alikimbia gesti kigamboni baada ya jamaa kuvuta akiwa juu ?


Chondechonde shoga hizo siri za ndani mwenzanguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…