SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Niliamka na kujisikia mwili wote kama umekakamaa na maumivu ya kichwa kwa mbaali. Nikajishauri niende hospitali haraka.
Daktari akataka nipimwe damu na mkojo.
Damu ilipatikana isipokuwa mkojo. Mtaalamu wa maabara akaniuliza: Hujisikii haja ndogo hata kidogo? Nikamjibu sisikii chochote. Akanipa maelezo yafuatayo: Nenda choo cha kuvuta kwa maji kisha vuta maji halafu uyatezame yanavyotiririka, utapata haja ndogo!
Nikafanya hivo na kweli nikahisi haja ndogo!
Wadau, hii ni saikolojia au bayolojia au ni nini? Tafuta siku ujaribishe uone.