Alicheza na akili yako tu, na hiyo ndiyo phychology.
Alishajua shida yako ni kupata haja ndogo; kwa hiyo alichokifanya pale ni kuifanya akili yako ijiandae kukifanya kile unachokihitaji. Kwa kifupi ni kwamba ulipokuwa unaangalia maji yakimiminika akili yako ilishajengwa kisaikolojia kwamba kitakachofuata pale ni kujisikia kupata haja ndogo, kwa hiyo ulichokifanya pale bila wewe mwenyewe kujitambua ni kujenga hisia ya kupokeakitu ambacho unakitarajia - yaani haja ndogo. Hisia hizo ndio ziliifanya ubongo wako upeleke taarifa kwenye kibofu chamko kwamba sasa hivi kuna kitu kinatakiwa kitoke - ambacho definately ndio huo mkojo uliouona.
MAELEZO YANGU YANAWEZA KUHITAJI UFAFANUZI AU MAREKEBISHO ZAIDI, kwa hiyo mwenye kuwa na la ziada atupe darasa...