Jambo hili linatatuliwaje madaktari na wale wenye uzoefu ?

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Kwanza napenda nitambue michango yenu mizuri wana JF ambaya kwa namna moja au nyingine imeokoa maisha ya watu au kuimarisha afya zetu.Leo nimekuja na tatizo moja ambalo mwanzoni nilidhani nihali ya kawaida.Mrs wangu amekuwa na ujauzito wa miezi mitatu sasa lakini cha ajubu akisikia harufu yangu au kuniona anatapika sana na hataki kuniona hali hii inanikosesha raha ya kuwa nyumbani na kumhudumia.Je tatizo hili naweza kulitatuaje waungwana ?
 
Pole sana mkuu, kinamama wajawazito huwa wana mood swings ambazo wakati mwingine hautabiriki. Wataalam wengi wanadhani ni sababu ya hormonal surge za kusupport ujauzito pamoja na stress mbali mbali zinazoambatana na ujauzito. Unatakiwa umchukulie taratibu na umsupport katika kipindi hiki. Atabadilika kidogo kidogo bila ya wewe kutarajia.
 
Asante mkuu damian marijani nitajitahidi.
 
Kwanza napenda nitambue michango yenu mizuri wana JF ambaya kwa namna moja au nyingine imeokoa maisha ya watu au kuimarisha afya zetu.Leo nimekuja na tatizo moja ambalo mwanzoni nilidhani nihali ya kawaida.Mrs wangu amekuwa na ujauzito wa miezi mitatu sasa lakini cha ajubu akisikia harufu yangu au kuniona anatapika sana na hataki kuniona hali hii inanikosesha raha ya kuwa nyumbani na kumhudumia.Je tatizo hili naweza kulitatuaje waungwana ?

nenda naye taratibu atakuelewa japokuwa inafika sehemu mpaka inakera.
Kuna mke wa jamaa yangu yy alikuwa mjamzito akadai hamtaki kabisa mme wake eti ananipenda mm ndio niwe naye muda wote.
Yaani tukitokea sehemu na jamaa yake anakimbia anakuja kunikumbatia na unibusu mm hlf mme wake hataki hata kumuona hlf akawa anaropoka kwa kila mtu eti mm nampenda sana Wa kusoma zaidi ya mme wangu ikafikia mpaka unyumba akawa hampi kisa eti hataki kusikia hata harufu yake.
Ilibidi watu wanishauri nisikanyage pale tena mpaka atakapojifungua nikafanya hivyo cha kushangaza baada ya mm kukata kwenda pale akaanza kumkubali mme wake na mambo yakaenda poa.

Ushauri wangu, kile kitu anachokipenda zaidi yako jaribu kukiweka mbali naye hlf wewe lazimisha kuwa naye muda wote na ikiwezekana uwe unabadili na radha ya mafuta au perfume unayotumia mambo yatakaa sawa.
 
Muelimushe mkeo akue. Huyo hali asiiikubali na ajitahfdi kulipokea na kukuona We ndo mumewe kipenzi. Kuhusu kutapika mwambie anywe maji baridi saana glass 1 akiona unamchefua.
 
Fiction!!!!!!!!!!!!!
 
Anahitaji kupata psychotherapy!Hilo ni jambo la kawaida kwa akina mama wajawazito, akifika miezi 4 au 5 tatizo linaanza kupungua, japo sio kwa wote.
Hata mimi ilishanitokea, wife alikuwa hapendi harufu ya perfume yangu, ikabidi nimuombe anichagulie perfume ambayo haitamkwaza, tukafanikiwa kupita kikwazo hiki.
Akaanza kuchukia mayai ya kukaanga ikabidi nyumba yangu mayai yawe yanachemshwa.
Hii ya mke kutapika akikuona,nimeishuhudia kwa mke wa rafiki yangu.
Mara nyingi ufumbuzi wa tatizo huwa anao yeye mwenyewe.hebu jaribu kumsikiliza usikie yeye anatakaje,huenda ukapata ufumbuzi wa tatizo lake.
Ila usishangae atakapokuambia kwamba ufumbuzi wa tatizo lake ni kumruhusu akakae kwao mpaka ajifungue.Na ukikataa ataendelea na hali hiyo ya kutapika.
Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mama mja mzito kutapika.Sababu kubwa kuliko zote ni mabadiliko ya hormone mwilini, ambayo husababisha hali ya kichefuchefu na kutapika miezi 4 ya mwanzo.Pia mabadiliko haya yanaweza kufanya hali iwe mbaya zaidi kama mama ana mimba ya mapacha(Twins), au wakati mwingine kama ana aina ya mimba iitwayo MOLAR PREGNANCY.
Lakini pia mama anapokuwa a magonjwa kama upper urinary tract infection(pyelonephritis), Malaria na mengine anaweza kupata kichefu chefu na kutapika.
lakini wakati mwingine ni Psychogenic, yaani wengine wanafanya kutapika kama fasheni, na wanaweza wakaweka na vitabia vingine kuongeza ukubwa wa tatizo, kama kusema nikimuona mume wangu natapika, au kumpenda shemeji yake kuliko wewe.Ndiyo watu wa aina hii wanaohitaji psychotherapy, yaani wanapelekwa kwa health provider, na wakikaa na wakazungumza anarudi nyumbani tatizo linakuwa limeisha.
kuna watafiti pia wameripoti kwamba, akina mama wenye ujauzito ambao ni wa mtoto wa kike wanatapika zaidi kuliko wale wenye ujauzito wa mtoto wa kiume.bahati mbaya tafiti hizi zimekuwa zikipingana mara kwa mara.
 
Asante wangu maelezo yako yamenipa moyo wa uvumilivu nitafanyia kazi
 
Muelimushe mkeo akue. Huyo hali asiiikubali na ajitahfdi kulipokea na kukuona We ndo mumewe kipenzi. Kuhusu kutapika mwambie anywe maji baridi saana glass 1 akiona unamchefua.
Nitafanyia kazi mkuu.
 
Anahitaji kupata psychotherapy!Hilo ni jambo la kawaida kwa akina mama wajawazito, akifika miezi 4 au 5 tatizo linaanza kupungua, japo sio kwa wote.
Hata mimi ilishanitokea, wife alikuwa hapendi harufu ya perfume yangu, ikabidi nimuombe anichagulie perfume ambayo haitamkwaza, tukafanikiwa kupita kikwazo hiki.
Akaanza kuchukia mayai ya kukaanga ikabidi nyumba yangu mayai yawe yanachemshwa.
Hii ya mke kutapika akikuona,nimeishuhudia kwa mke wa rafiki yangu.
Mara nyingi ufumbuzi wa tatizo huwa anao yeye mwenyewe.hebu jaribu kumsikiliza usikie yeye anatakaje,huenda ukapata ufumbuzi wa tatizo lake.
Ila usishangae atakapokuambia kwamba ufumbuzi wa tatizo lake ni kumruhusu akakae kwao mpaka ajifungue.Na ukikataa ataendelea na hali hiyo ya kutapika.
Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea mama mja mzito kutapika.Sababu kubwa kuliko zote ni mabadiliko ya hormone mwilini, ambayo husababisha hali ya kichefuchefu na kutapika miezi 4 ya mwanzo.Pia mabadiliko haya yanaweza kufanya hali iwe mbaya zaidi kama mama ana mimba ya mapacha(Twins), au wakati mwingine kama ana aina ya mimba iitwayo MOLAR PREGNANCY.
Lakini pia mama anapokuwa a magonjwa kama upper urinary tract infection(pyelonephritis), Malaria na mengine anaweza kupata kichefu chefu na kutapika.
lakini wakati mwingine ni Psychogenic, yaani wengine wanafanya kutapika kama fasheni, na wanaweza wakaweka na vitabia vingine kuongeza ukubwa wa tatizo, kama kusema nikimuona mume wangu natapika, au kumpenda shemeji yake kuliko wewe.Ndiyo watu wa aina hii wanaohitaji psychotherapy, yaani wanapelekwa kwa health provider, na wakikaa na wakazungumza anarudi nyumbani tatizo linakuwa limeisha.
kuna watafiti pia wameripoti kwamba, akina mama wenye ujauzito ambao ni wa mtoto wa kike wanatapika zaidi kuliko wale wenye ujauzito wa mtoto wa kiume.bahati mbaya tafiti hizi zimekuwa zikipingana mara kwa mara.
Asante ! Nimekupata mkuu.
 
Wakuu habari za mishughuliko? Kwangu mimi ni furaha teletele nakumbuka miezi kadhaa niliwasilia mada hii nikiwa nimetingwa kweli kweli ushauri wenu na mawazo yenu yamenikomboa,kwani leo narejea kwenu kutoa shukurani za dhati.katika siku ya leo tunapomzika mandela shemeji/wifi yenu amejifungua madiba mwingine,kweli jf ni mahali pa kupata mawazo mazuri.Asanteni.
 
Wakuu habari za mishughuliko? Kwangu mimi ni furaha teletele nakumbuka miezi kadhaa niliwasilia mada hii nikiwa nimetingwa kweli kweli ushauri wenu na mawazo yenu yamenikomboa,kwani leo narejea kwenu kutoa shukurani za dhati.kwani katika siku ya leo tunapomzika mandela shemeji/wifi yenu amejifungua madiba mwingine,kweli jf ni mahali pa kupata mawazo mazuri.Asanteni.

Hongera tata madiba
 
Back
Top Bottom