Jambo hilo linekuharibia sana Rais Magufuli

Magu naye ni mshabiki wa mpira? Acheni hozo nyie, magu hapendi soka na hilo liko wazi. Ni lini mliwahi kumuona kaingia kuangalia mpira yoka ametoka kijijini kuja japa Dar? Nyie washabiki wa simba na yanga msidhani kila mtanzania ni aidha mshabiki wa simba au yanga. Sisi wengine wala hatuna muda na hizo timu zenu ambazo kwenye michuano ya kimataifa huwa mnatolewa mapema. Sio wote tunajivunia mwanafunzi anayekuwa wa kwanza hata kama amepata division IV. Hilo soka letu unalosema rais atajijengea chuki ni bovu kuliko mfano.
 
Mkuu yapo mambo mengi ya muhimu ya kujadili.
 
Unaweza ukawa na hoja au point ila Kiswahili chako dah???!!! Inabidi uhariri kwanza kabla hujapost
 
Duh! Jamani nineshawahi kusoma kuwa Mbowe no Yanga. Sasa haya ya Simba kuwa CHADEMA yanatoka wapi? Ebu acheni hisia zenu wanayanga kufikiria wao ni CCM.
 
ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!

YANGA SHTUKENI!
Unajua kwamba Mbowe ni Mwanachama na shabiki wa kutupwa wa Yanga? Unajua pia aliwahi kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa kwenye kamati ya "saidia Yanga ishinde"?

Kama hujui jambo kaa kimya!!
 
Hii nayo ni nini?????toa takataka yako hapa
 
Na alienda kwa ajili ya SERENGETI BOYS
 
Kuna mahali Magufuli alisema YEYE NI SHABIKI wa Simba Koko? Mi nakumbuka alisema yeye si shabiki wa timu yeyote na kama utakuwa na kumbukumbu na akili ya kukutosha, JPM alifurahi Juma K. Juma alipodaka penalti ya Oki sijui Korie.

Mmetobolewa tundu hadi mnapoteza uwezo wa kufikiri?
 
Kama kiswahili tu chenyewe ndio unaandika hivi inaonyesha aidha hujitambui au elimu yako ndio hivyo tena
 
Hahaaha pole sana mkuu. Mwaka huu gongo wazi mnapumulia machine, tangu Manji aanze kupelekwa puta na mfumo naona mbwembwe zote za kulala kwenye hoteli za kitalii zimebakia kwenye kumbukumbu zenu.

Tafuta ile clip kwenye youtube utamuelewa vizuri mkuu wa nchi. Yanga katika mechi nane za hivi karibuni mmefungwa mechi tano mmetoka sare mechi tatu, mmefunga goli moja na mmefungwa magoli kumi!!, wewe bila aibu unaongelea tundu letu moja na Kagera Sugar, umesahau kuwa nyinyi mnayo kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…