Hodi humu, natumaini mu wazima.
mi mgeni wenu naomba mwongozo wa hapa ndani.
nakutakieni siku njema
Le' baby.
Mgeni like mwenyeji karibu kiupya upya. From Jambo to jamii.
Hata hao wanao mkaribisha awajui mama yake jamiiforum ni nani.ha ha ha mkaribishe kwanza.....
Hata hao wanao mkaribisha awajui mama yake jamiiforum ni nani.
Huyu mgeni wa ajabu, vyumba vyote vya umu ndani anivifahamu. Kazi kweli kweli.
Ok! Ngoja nimkaribishe, karibu sana kwa upya upya.