johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Angeacha kuwanunua kina nassari paulina Gekul Mwita Waitara Moses machali na wengineo aoneKila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake
Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana
Mlale unono!
Kilikuwa karibu kabisa kufa wakati wa Kikwete, wakati huo chadema tukichanja mbuga kwenye kuimarika, hata sielewi ni kwa nini Magufuli (rip) alikirejeshea uhai na kukiimarisha? Ngoja tuone akina kinana wanakipeleka wapi!Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake
Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana
Mlale unono!
Bwashee kumbuka pia kada wa ccm lowassa aliwanunua kina mbowe, lisu na wengineo!Angeacha kuwanunua kina nassari paulina Gekul Mwita Waitara Moses machali na wengineo aone
Pia tusisahau hao iliowataja hapo juu wamenunuliwa tenaBwashee kumbuka pia kada wa ccm lowassa aliwanunua kina mbowe, lisu na wengineo!
Huwezi tenganisha risasi na uongozi wa nchi popote duniani.Angeacha kutumia risasi aone!
Mbona JK hakuwanunua kama ni rahisi.?Angeacha kuwanunua kina nassari paulina Gekul Mwita Waitara Moses machali na wengineo aone
Sio Kwa namna yule mwehu shetani wenu alivyo abuse madaraka na ndio maana Mungu akasikia sauti yaoHuwezi tenganisha risasi na uongozi wa nchi popote duniani.
Sikupingi! Bila kutawala kwa mkono wa chuma cku mingi kingemfia mikononi mwake!! Option aliyokua nayo ni kuwaangamiza wapinzani kwa kutumia jeshi la polisi, bunge, mahakama na unknown fellas!!Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake
Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana
Mlale unono!
Tujadili nini Sasa kwenye huu uchafu ulioandika? Hivi bado mnalipwa hizo buku saba kwa kigezo Cha idadi ya post?Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake
Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana
Mlale unono!
Umeshafura 😀😀Tujadili nini Sasa kwenye huu uchafu ulioandika? Hivi bado mnalipwa hizo buku saba kwa kigezo Cha idadi ya post?
Ilikuwa lazima awanyooshe baadhi ya wajinga. Mbona wema walikuwa wengi kuliko hao wapuuzi wachache.Sio Kwa namna yule mwehu shetani wenu alivyo abuse madaraka na ndio maana Mungu akasikia sauti yao
Kuna mtu anatawala chadema kwa mkono wa chuma kama Mbowe?Sikupingi! Bila kutawala kwa mkono wa chuma cku mingi kingemfia mikononi mwake!! Option aliyokua nayo ni kuwaangamiza wapinzani kwa kutumia jeshi la polisi, bunge, mahakama na unknown fellas!!