johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Wapinzani au Waigizaji?!!Sikupingi! Bila kutawala kwa mkono wa chuma cku mingi kingemfia mikononi mwake!! Option aliyokua nayo ni kuwaangamiza wapinzani kwa kutumia jeshi la polisi, bunge, mahakama na unknown fellas!!
Bwashee una maana mbuzi anaenda kufia kwa muuza supu!?Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake
Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana
Mlale unono!
Ila Mungu kamkomoa kumuonyesha alikuwa mwovuIlikuwa lazima awanyooshe baadhi ya wajinga. Mbona wema walikuwa wengi kuliko hao wapuuzi wachache.
Kaigize wewe kupigwa risasi halis tena zikuingie vizur mwili, kaigize wewe kutekwa na kupotezwa, kaigize wewe kujeruhiwa upate kilema cha maisha!! Ili uone mwenyew faida yake!! Ni ujinga san kubeza watu kwa uhalisia wa maumiv na vifo vya wapendwa wao!! Kwa hoja kama hiz ni waz ulikua ni aidha muhusika au mnufaika wa mauaji, utekaji, utesi wa wapinzani!!Wapinzani au Waigizaji?!!
Lete evidence wee bibi! Cz kuhusu utawala wa kiimla wa awamu ya tano upo waz kbs!!Kuna mtu anatawala chadema kwa mkono wa chuma kama Mbowe?
Inakuwa bure?Kaigize wewe kupigwa risasi halis tena zikuingie vizur mwili, kaigize wewe kutekwa na kupotezwa, kaigize wewe kujeruhiwa upate kilema cha maisha!! Ili uone mwenyew faida yake!! Ni ujinga san kubeza watu kwa uhalisia wa maumiv na vifo vya wapendwa wao!! Kwa hoja kama hiz ni waz ulikua ni aidha muhusika au mnufaika wa mauaji, utekaji, utesi wa wapinzani!!
Putin analipa pesa ndefu nenda kajiunge na Wagner ukaigize kule bahmut!!Inakuwa bure?
Mwanasiasa hawezi kuumizwa bure tu Bwashee!Putin analipa pesa ndefu nenda kajiunge na Wagner ukaigize kule bahmut!!
Wee mzee ni uhuru upi unaouzungumzia? Yaan hakikutakiwa kukosoa, wala kua against na mtawala! Ni uhuru gan unaouzungumzia? Wee mzee sometimes tuliza akili ondoa mahaba ya kiitikadi then rudisha akili kweny uhalisia!!Mwanasiasa hawezi kuumizwa bure tu Bwashee!
Anampigania nani kwenye nchi huru kama Tanzania?
6Hivi mnadhani CCM inaweza kufa hivi hivi? Tena ilikuwa na Risk Kufa angeendelea kuongoza Mekko akataka hata Kina BASHIRU WAWE Maraisi, japo napo isingekuwa Rahis kuiua CCM ingeteteleka, Muhimu ni kwamba CCM Ina watu Makini kuzidi vyama Vingi Afrika,,
Achana na wanaoongoza sijui unaosikia majina Yao! Ila wapo watu makin sana ndani ya CCM
Britanicca
Hivi Vyama vyote vilianzishwa na Nyerere ili kuichangamsha CCM hakuna Upinzani hapoWee mzee ni uhuru upi unaouzungumzia? Yaan hakikutakiwa kukosoa, wala kua against na mtawala! Ni uhuru gan unaouzungumzia? Wee mzee sometimes tuliza akili ondoa mahaba ya kiitikadi then rudisha akili kweny uhalisia!!
Huo ndio ukweliPia tusisahau hao iliowataja hapo juu wamenunuliwa tena