Jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nafanya tendo la ndoa na mke wangu

"...Chanzo cha tatizo langu nadhani ni kujichua kwa muda mrefu kwani nilianza kujichua mwaka 1992..."

Wengi wanaokushauri hapa walikuwa wananyonya wakati wewe unaungurumisha punyeto.

Sasa kama unahisi tatizo ni kupiga punyeto kwa nini usiache?!
 

Donatila;
Kwanza nianze kukukanya; Usipende kutumia picha ya mtu kwenye mitandao bila idhini maalum. Utajapata shida kubwa hata kifungo na mali zako kufilisiwa.
Nimejaribu kuku quote kidogo kwani nimechukua tu point zile nataka kukusaidia. Mwanamume huwa anapoteza nguvu zake kwa njia nyingi. Mfano;
- Kuzaliwa na upungufu huo
- Kutokuwa na imani na yeye mwenyewe (Kujiamini)
- Kuwa na uhitaji mkubwa wa nguvu ya fedha (Madeni)
- Kukosa mlo sahihi wa kumpa nguvu
- Kukosa hamu ya ku do kutokana na yeye kufanywa kinyume na wanaume wengine.
Haya ni baadhi ya mambo nami nataka nijikite zaidi na hayo matatu niliyoanza nayo.
Mtu huweza kuwa amezaliwa na upungufu huo hivyo akawa anashida kidogo kumfikisha mkewe kileleni. Lakini, kama atakuwa anajiongezea mwenyewe nguvu kwa kutamani kuendeleza mchezo, mara nyingi hii hupotea na anajikuta kishakuwa bingwa.
Kutokuwa na imani ya yeye mwenyewe nalo huwapata wengi hata wale wanaojiona mabingwa. Mara nyingi, wanaume hupenda kuelezana mambo wanayo wafanyia wanawake wengi (japo mara nyingi sio yale ya wake zao). Sasa katika majigambo yao hayo ya kijinga huwa wanaongezea chumvi ili ajioneshe kuwa ni bingwa. Akitokea mmoja wao mjinga akayaamini yote hayo, anaanza kujiona kama yeye sio bingwa hivyo anapokutana na mwanamke mpya, anatamani ajaribu mbinu ilee aliyoisikia kwa jamaa. Kumbe ilikuwa ni uongo tu hakuna kitu ka hicho hivyo akishindwa anaanza kupunguza uwezo. Yapo mengi tu ya mifano ila yanakupunguzia confidence. Usikubali kupungua nguvu kwa sababu hukufanya kama fulani. Wapo wanaoanza kwa speed ya ajabu tangu mwanzo hadi dakika ya 45. Speed ni ile ile, na wapo waendao pole pole kwa dakika 45 pia, Nadhani yule wa speed kali atakuwa amemchokesha mwenzie vilivyo.
Jambo jingine ni Uhitaji mkubwa wa fedha. Kama unadaiwa sana, nguvu za kiume hupungua. Tendo la ndoa linakuhitaji mwili, akili na moyo wako pia. Hata ukiletewa Miss world, huwezi kumpanda ukiwa mdeni wako unajua anakuja asubuhi kuja kukudai. Punguzeni madeni kwanza nguvu zinakuja bila dawa.
Ushauri kwa mleta mada;
Unapoenda kisarawe, acha kuwaza kununua madawa. Acha kuwatafuta wanawake wengine. Mfichie mkeo hiyo mali yake. Pili usimkamie saana bali mngojee kwa hamu ya kawaida tu. Mfikirie zaidi. Ukifika home, badili staili yenu. Sio kifo cha mende tuu, jaribu hata mbuzi kagoma.
Usikubali kuwe na makelele karibu ya radio au tv. Usikubali chochote kikuondoe kwenye mawazo ya mke. Jitahidi kukumbuka chochote kilichowahi kukuvutia kwa mkeo tu.
Una uhakika na chumba chako cha kulala?? Isijekuwa huwa unaogopa kuwa kuna watu wanakupiga chabo. Hii ndo dawa.
 
Ha ha ha ha yamemkuta mumeo nin? Ndio maana tulikwambia uje upate burudan ukajifanya unataka wenye mahela sasa pambana na Hali yako.
Nimewaita kuwauliza uongozi mliacha lini?
 
pole sana

never mistaken kindness with weakness
 
"...Chanzo cha tatizo langu nadhani ni kujichua kwa muda mrefu kwani nilianza kujichua mwaka 1992..."

Wengi wanaokushauri hapa walikuwa wananyonya wakati wewe unaungurumisha punyeto.

Sasa kama unahisi tatizo ni kupiga punyeto kwa nini usiache?!
Huyu si tatizo la nyeto, yeye ni mdhaifu tu. Pole yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…