Jambo la Simba hili hapa, usisubiri saa 18:30

Kwahiyo mkuu jezi za simba msimu huu ni kali au ni vunjabei part 2?
Ukikutana na uzi mpya wa Simba ambao ni lonya, elewa hiyo ni copy ya mkinga.

Watoa copy wapo na kuwazuiya ni ngumu.

Ila uzi utakuwa mkali sana, mtapewa taarifa za wapi utapata jezi OG.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha ubunifu upo au bora rangi nyekundu na nyeupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…