Jambo lililofanikiwa zaidi kwenye Utawala huu ni Kushuka kwa bei za Bia.

Jambo lililofanikiwa zaidi kwenye Utawala huu ni Kushuka kwa bei za Bia.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Sina mengi ya Kuzungumza ila nadhani mafanikio ya Awamu hii ni kuporomoka kwa bei za Bia .
Nyingi ni Tsh 1500/=
Na sasa Castle lite ni 2000/=.

[emoji482] Cheers .
 
Hahaaaa!!! Ukiongoza nchi kibashite what do you expect?
 
Na ishuke tu, ikifika jero itapendeza zaidi
 
Si mafanikio Mkuu kwao. Kushuka kwa bei ya beer kwao ni less revenue collections kutoka kwa wanywaji. Vyuma vimekaza Mkuu.

Sina mengi ya Kuzungumza ila nadhani mafanikio ya Awamu hii ni kuporomoka kwa bei za Bia .
Nyingi ni Tsh 1500/=
Na sasa Castle lite ni 2000/=.

[emoji482] Cheers .
 
Mkuu ndiyo hilo tu la maana lililofanyika? Aisee naona unahamu kutembelewa na wasiojulikana ha ha ha
 
Mbona huku Kusini bado wanaleta za mbili jero tbl wajue wanatuonea kwakweli
 
HV zimeshuka Bei au wamepunguza ujazo

Washushe lile li castre lager kubwa basi
 
Na balimi kubwa sasaiv ni 2000. Walevi tuna sherehekea tu. [emoji91][emoji91][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Back
Top Bottom