Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Na kuongezeka kw wajinga na mazezeta km mtoa post.Sina mengi ya Kuzungumza ila nadhani mafanikio ya Awamu hii ni kuporomoka kwa bei za Bia .
Nyingi ni Tsh 1500/=
Na sasa Castle lite ni 2000/=.
[emoji482] Cheers .
Ukiona ivyo ujue Pesa imepata thamani.Inabidi zishuke hadi bukubuku ndiyo itapendeza zaidi
bukubuku ni bora tuzinywe cc wenyewe kiwandani...Inabidi zishuke hadi bukubuku ndiyo itapendeza zaidi
Kama itakua ma faida haina ubaya. Hatahivyo mkiamua kuzinywa wenyewe kazi itafanyika kweli?bukubuku ni bora tuzinywe cc wenyewe kiwandani...
Sina mengi ya Kuzungumza ila nadhani mafanikio ya Awamu hii ni kuporomoka kwa bei za Bia .
Nyingi ni Tsh 1500/=
Na sasa Castle lite ni 2000/=.
[emoji482] Cheers .