Jambo lolote kuhusu Magufuli, ni" Breaking News" Kenya, hii imekaahe?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Sikutegemea kabisa kama huu uzishi uliopita katika mitandao ya kijamii ungeweza kurushwa katika chombo kikubwa cha habari, tena cha nchi ya nje.

Huu ulikua ni uzushi usiokuwa na chanzo chochote zaidi ya Maneno ya kijiweni, si kutegemea chombo chochote makini cha habari kuzungumzia na kutangaza jambo hili.

Hii ni dalili wazi kwamba, vyombo mbali mbali duniani vinafuatilia kwa makini sana maisha na utendaji Kazi wa Magufuli.
Magufuli hoyeeeee
 
Ndugu yangu acha tu, Magu wetu anao ushawishi mkubwa sana, kuna kipindi nilikua Zimbabwe nilishangaa sana jinsi Magu alivyo celebrity kule, wanasiasa hawawezi kuongea sentence mbili bila kumpachika

Mungu tutunzie Magu wetu umuepushe na na waovu wote wasio mtakua jema πŸ™‹
 
Umehepa Normandy landings πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ama kwa kitanzania Ni Bagamoyo landings? Hebu Weka Tena hio world war 2 enactment in TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tofauti yenu na Hii hapa chini Ni rangi
 
Hata akienda kijijini kwao Chato ni habari kubwa Kenya πŸ™‚πŸ™‚.
 
Popobawa na lazima usiku wa leo atakupitia.

Our athletes are more popular than Tanzania the country let alone some Dick head like that one you are mentioning there
 
Our athletes are more popular than Tanzania the country let alone some Dick head like that one you are mentioning there

Wewe mngoje popobawa atakuja kukusalimia usiku wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…