Hawa Jamaa ni kati ya wasanii wakali sana katika tasnia ya vichekesho apa nchini ata original komedi wanakaa .
Wanaubunifu na upangiliaji mzuri wa matukio au vipengele mf. Aisee kama....,cha uroho,na maneno kumi .
Mfano wa wahusika wanaonifurahisha ni kazoa(chauroho),Duchu wa Duchu(maneno kumi) na Ayub kondo(kama yesu ).
Ivi wapo wapi siku izi manake tumewamiss sana kipindi kile walirusha sana e.a TV.
Mwenye kuwajua please atiririke hapa.
Nawasilisha.