DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa hiyo saivi ushindi sio kubeba tena ni kucheza fainali mara mbili sio.Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya.
View attachment 3346304
Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu tuliomkatia tamaa. Miezi miwili hivi ya hapa mwishoni katika mashindano ya CRDB Cup akaanza kuonyesha dalili za kuwa bora na jana akashinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali mbele ya wachezaji tulioambiwa wana thamani ya mabilioni ya pesa na wanaogombaniwa huko Ulaya.
Ukiacha goli alilofunga, Mutale jana angeondoka pia na assist kama siyo famba aliyofanya Kapombe na angeweza kuipa Simba ubingwa wa CAF.
Ni mwisho bora sana wa story hii ya Simba katika fainali hizi.
NB. Pia ni uthibitisho kuwa ni timu ya Simba SC pekee iliyowahi kuleta fainali ya CAF hapa nchini, na tena imeleta fainali mbili. Hakuna timu nyingine ya Tanzania imewahi kuleta fainali ya CAF nchini Tanzania na kombe tukaliona.
Mechi ya kwanza ni utangulizi wa fainali, CAF wanahesabu fainali mechi ya pili tu na ndiyo inayotoa mchezaji bora.
Je tumelipeleka msimbazi?
Mmekimbia kombe lenu.Je tumelipeleka msimbazi?
Tunawakeraaaaaaaa........sisis hao hatuna habariiiii
Refa alikuwa miyeyusho!Ila ulituhakikishia lazima Simba abebe kombe, ilikuaje ikashindikana?
Kanifurahisha sana. Kanikumbusha Moses Phiri, hata wawe wanapitia hali gani wanabaki wanyenyekevu.Tunawakeraaaaaaaa........sisis hao hatuna habariiiii
umeongea pointi ila ulipoharibu ni hapo kwenye NB umeonesha how big kolo you arePamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya.
View attachment 3346338
Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu tuliomkatia tamaa. Miezi miwili hivi ya hapa mwishoni katika mashindano ya CRDB Cup akaanza kuonyesha dalili za kuwa bora na jana akashinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali mbele ya wachezaji tulioambiwa wana thamani ya mabilioni ya pesa na wanaogombaniwa huko Ulaya.
Ukiacha goli alilofunga, Mutale jana angeondoka pia na assist kama siyo famba aliyofanya Kapombe na angeweza kuipa Simba ubingwa wa CAF.
Ni mwisho bora sana wa story hii ya Simba katika fainali hizi.
NB. Pia ni uthibitisho kuwa ni timu ya Simba SC pekee iliyowahi kuleta fainali ya CAF hapa nchini, na tena imeleta fainali mbili. Hakuna timu nyingine ya Tanzania imewahi kuleta fainali ya CAF nchini Tanzania na kombe tukaliona.
Mechi ya kwanza ni utangulizi wa fainali, CAF wanahesabu fainali mechi ya pili tu na ndiyo inayotoa mchezaji bora.
Huyo ni mbumbumbu pro maxIngekua fainali ni mechi ya pili, kwa matokeo ya jana bingwa angepatikana kwa penalty
Kwa sasa ni muda wa kulea mtoto,labda huenda tukaunda timu bora baadaye.Sasa ni wakati wa kujifariji na kukamatana uchawi.